Changia

Changia Parokia

Karibu uchangie maendeleo ya parokia

Tunawaomba waamini wetu na watu wote wenye mapenzi mema kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo parokia yetu, hasa wakati huu tunapoendea na ujenzi wa kanisa letu.

"Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
2 Wakorintho 9:7

Jinsi ya kuchangia

Unaweza kuchangia kwa kutumia akaunti namba ya benki au kwa kutumia mitandao ya simu zilizo hapa chini:-

Kwa njia ya benki

Akaunti Namba: 040103001758 NBC
Jina la Akaunti: UTATU MTAKATIFU CHANGANYIKENI

Kwa Lipa Namba

TIGOPESA - 6256260 UTATU MTAKATIFU CHANGANYIKENI
MPESA - 5600222 UTATU MTAKATIFU CHANGANYIKENI